Na Eve Davidian: Hadithi ya mapenzi, msongo na kinyesi cha fisi Ngorongoro
Soma karatasi hapa An English version of this blogpost is available here. Kuna pengo la kiuelewa kuhusu uhusiano kati ya cheo cha mwanaume kijamii na mafanikio yake katika uzazi. Hii ni kwa mujibu wa utafiti nilioufanya na mwenzangu, miongoni mwa wanyama. Utafiti huu unaonyesha kuwa mfumo wa kijamii na kujamiiana wa fisi wenye madoadoa unaweza kutoa mwanga katika kuelewa mienendo ya usawa wa uzazi miongoni … Continue reading Na Eve Davidian: Hadithi ya mapenzi, msongo na kinyesi cha fisi Ngorongoro